i7 generation ya ngapi mkuu, na Vipi ina GPU au haina.Ni Hp: Ram GB 16, Processor Core i7, SSD 500GB na 4TB ya HDD.,
Poa...Fanya ivoLabda niweke youtube arafu huku niweke link
Vp bei yake au unatumia cracked?Blender najuwa pia. Naona cinema 4D ndo nzuri zaidi ata ktk mambo ya VFX au CGI wanatumia sana kwenye mobies nyingi sana sana za marvel
Kwenye blender unaweza kunipa settings za hiyo plastiki?Natumia reshift. Ila bado najifunza maana kuna octane na redshift kwa ajili ya kurender realistic