Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D

Umewahi kufikiria kufanya project ya 3d character?
Yah sana. Tena nilikuwa nampango wa kutengeneza animation za historia ya tanzania, mfano wakina mkwawa na machifu wengine. Shida scripty mwaandaaji wa hadithi na mchoraji wa scripty ili mm nizingize ktk animation. Mfano masoud kipanya nipate scripty ya cartoon ya kuchora inakuwa kwangu rahisi kufanya 3D modal
 
Kipindi cha nyuma miaka ya 2020 nilikuwa sina majukumu, nilikuwa na muda hivyo nilikiwa najifunza modelling

Nilikuwa natumia maya na blender,
Your browser is not able to display this video.
 
Ivi kuna MTU anaendesha familia Kwa 3d animations,
Maana Haya 👆 mambo yanahitaji uvumilie Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…