Uzi maalumu kwa Mabaharia

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,432
Reaction score
5,864
KAMA KICHWA KINAVYOJIELEZA



MABAHARIA ninao wazungumzia hapa ni wale watafutaji Wa maisha walioamua kujiripua kwenda nchi mbalimbali kutafuta maisha.

Tukutane hapa kwa ajili ya kusimuliana harakati na mikasa mbali mbali iliyo kukuta kipindi unatafuta maisha huko ughaibuni.

Binafsi sijawahi Kuzamia popote lakini huwa navutiwa na stori za wazamiaji wanaoweka rehani Maisha yao ili wapate mavuno bora huko wanapoamini kuna mafanikio.

Wengi huzamia SAUZI, U.S.A,UK,DUBAI n.k, stori iliyonivutia ni ya jamaa anaitwa ROGERS katika kipindi cha sitosahau RADIO FREE AFRICA Miaka kama sita au saba illyopita weka hapa stori yako tuburudike, na tuelimike
Kwa miakasa iliyokukuta.
 
Huu uzi bila babu yake keanu kuja nae si alishawahi kuwa baharia ukuje
 
mkuu ilikuwa inaitwa storowei##stole way ila hiyo ilikuwa njia ya zamani sana ambapo vijana walikuwa wanajificha kwenye meli na kuibuka baadaye na wakikamatwa wenye bahati hupewa kazi melini na kuwa mabaharia. Wale wenye balaa walikuwa wanazamishwa baharini au kupelekwa bandari ya karibu na kurudishwa kwao. Dunia ya sasa mambo hayo hakuna watu wanaenda nchi za watu kihalali.
 
Mbona umeandika kama mtetea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Ndio, Wakija kutupa stori itakuwa jadida
 
~ Tuliozamia viwanja mbalimbali tukutane hapa kukumbushana mikasa yetu wanaume wenye ndevu sio watoto Wa mama!
 
Kitambo Tuliopanda meli kisafari kafiri,kuingia bila passpoti viwanja vya watu.
 
Tunaogopa TUKIWEKA VISA VYETU HAPA,,,baadae MNA COPY NA KUPAST tunavikuta FACEBOOK..na mbaya zaidi MUHUSIKA ANAKUWA NI WEWE,,,si kama umecopy na paste yaani story yote unakuwa wewe ndy IMEKUTOKEA,,,wale wote wanaojitangaza sehem mbali mbali WENGI wao sio wahusika wa UKWELI ni COPY NA PASTE....Mimi ndy BAHARIA WA KWELI...INDIA,,TURKY,,GREECE..nk..na kadhalika
.
.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hapa si sehemu salama Unaweza ukawekwa uchi mbele ya soko.
Kama anataka story za kuzamia kuna vijiwe au maskani kuna watu wana mbinu zote.
 
Hapana Fanya hivyo...tupe stori yako hutaisikia popote mkuu,hatuna pigo za namna hiyo kabisa.
 
Kweli hapa si sehemu salama Unaweza ukawekwa uchi mbele ya soko.
Kama anataka story za kuzamia kuna vijiwe au maskani kuna watu wana mbinu zote.
Wapi huko,baharia mwenzangu?...kama umewahizamia kiwanja tupe experience yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…