GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
KAMA KICHWA KINAVYOJIELEZA
MABAHARIA ninao wazungumzia hapa ni wale watafutaji Wa maisha walioamua kujiripua kwenda nchi mbalimbali kutafuta maisha.
Tukutane hapa kwa ajili ya kusimuliana harakati na mikasa mbali mbali iliyo kukuta kipindi unatafuta maisha huko ughaibuni.
Binafsi sijawahi Kuzamia popote lakini huwa navutiwa na stori za wazamiaji wanaoweka rehani Maisha yao ili wapate mavuno bora huko wanapoamini kuna mafanikio.
Wengi huzamia SAUZI, U.S.A,UK,DUBAI n.k, stori iliyonivutia ni ya jamaa anaitwa ROGERS katika kipindi cha sitosahau RADIO FREE AFRICA Miaka kama sita au saba illyopita weka hapa stori yako tuburudike, na tuelimike
Kwa miakasa iliyokukuta.