Uzi maalumu kwa Mabaharia

Wapi huko,baharia mwenzangu?...kama umewahizamia kiwanja tupe experience yako mkuu.
Kinondoni, Magomeni Mikumi huko utapata waliozamia na watakupa story zote.

Ningeweka story ya baharia mmoja, kipindi cha nyuma sana. Kama mtu wa story nenda Mitaa ya Kijitonyama pale Karibu na Ngalawa Pub kamtafute Mzee anaitwa Babu Jane(Journey) wewe mpe ela ya maji au mtoe ofa.Atakupa story zote walivyozamia long time na changamoto mpaka alivyorudi kajenga hapo na kumiliki daladala mjini.
 
Tafadhali tupe hiyo mkuu...tuelimike,maana Mimi Niko mbali sana na dar mikoani huku porini ndani ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…