mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Kweli baharia.. Mimi ni baharia wa INCHI kavu na sasa ni baharia kamili wa MAJIKweli hapa si sehemu salama Unaweza ukawekwa uchi mbele ya soko.
Kama anataka story za kuzamia kuna vijiwe au maskani kuna watu wana mbinu zote.
Sent using Jamii Forums mobile app