Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Makobe wenzangu tukutane hapa,tupange wapi pa kwenda kudoea futari.
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi leo nitajialika kwa madame sHahahahahhahahhahaa
KaribuMimi leo nitajialika kwa madame s
Niko mtaani natafuta pa kudoea Leohahaha noma sana
Usijali nitakushtuaUkipata tushtuane mkuu
Haha haujaanza santeeeeeeKobe mwenyewe
Nitazuka hukoEbwana hapa Victoria kuna waturuki wanafuturisha watu wanatoka hadi sinza kuja kuipiga hii kitu.
Hongera kwa kuliona chimboMimi leo nitajialika kwa madame s
Safi sanaKesho kwa hajar
Makobe wenzangu tukutane hapa,tupange wapi pa kwenda kudoea futari.
Nalog off
Niko mtaani natafuta pa kudoea Leo
Nalog off