Uzi maalumu kwa taarifa za uongo na unafiki

Uzi maalumu kwa taarifa za uongo na unafiki

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
2,301
Reaction score
2,977
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naanza na huu ugonjwa corona kumbe niugonjwa uwapatao watu wenye vigugumizi na wanyemakunyazi kichwani kama mganga aliewatapeli familia ya mzee mwenzetu mmoja hivi humu mzee Carlos The Jackal

Pili
Ni ugonjwa wa matajiri tu wee kama masikini endelea kula na kunywa chubuku kama ukianza tu kunywa balimi kama kaka mshana umekwisha ,
Tatu.

Mwakacorona amezaliwa huku mbeya wanyakyusa tayari wamempata mtoto wa corona ko kazi imekwisha huku mbeya ni kula bata tu kwenda mbele.

Nne
Huu Uzi ni taarifa za uzushi na uongo kama unazo taarifa za uongo ziwekwe humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K-vant,konyagi,don nyati na double kick imebainika ndo dawa ya corona ila hawataki kuwaaminisha wananchi maana taifa litakumbwa na ulevi
 
Naomba kuwasilisha.....
IMG-20200322-WA0004.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom