[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]Mi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku
Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli
Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...
Kingine... kinginee
Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...
Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley
Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny
Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Ulimtesa kuku msh.enz ww....[emoji23][emoji23][emoji23]Mi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku
Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli
Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...
Kingine... kinginee
Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...
Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley
Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny
Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Ndo maana pamoja na kufaidi nyama yake bado nimefanya sala ya toba.Ulimtesa kuku msh.enz ww....[emoji23][emoji23][emoji23]
We kibokoMi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku
Baada ya siku mbili yule kuku alikuwa anatembea kama anacheza singeli
Ee Mungu naomba unisamehe kwa maana kisu kililazimika kutenganisha kichwa na kiwiliwili cha kuku yule kabla ziraili hajamchukua...
Kingine... kinginee
Ziwa Victoria nikiwaangalia wavuvi na mitumbwi yao. Nikaona isiwe tabu. Nikachukua beseni na mwiko wangu nikazama ziwani kupiga makasia... haikuchukua muda nikapigwa wimbi nikazamishwa majini. Namshukuru Mungu nilivunja rekodi ya mtoto aliyekunywa maji mengi kwa wakati mmoja. Rekodi hiyo iliambatana na zawadi ya bakora za kutosha kutoka kwa mwalimu wangu ambaye alitokea kuwa mama yangu mzazi...
Nawashukuru wale wavuvi huenda muda huu ningekuwa na Kanumba tunarekodi bongo movie chini ya director Bob Marley
Ee Mungu saidia watu hawa wasiione hii post:
Daby Bonny
Sakayo Numbisa Curious gal geniveros Shunie espy Sky Eclat
Dah! Inaelekea wewe ulikuwa mtundu mno!Kuna jamaa waliweka upupu kwenye kiti cha mwalimu. Yule ticha aliipatapata. Aliruka kama chura dada wa watu. Baada ya kuwashwa kumuisha walimu wote walihamia darasani... zilitembezwa bakora ikabidi majaa yanitaje kinyume na makubaliano.
Kwa kuwa nilikuwa naaminika kwa upole wangu walimu wakaamini ni mimi nilihusika. Aisee nilichezea bakora na adhabu haijawahi tokea Afrika Mashariki na kati.
Sijui kwanini machalii wale walinitaja wakati sikuhusika. Mi nliweka kidogo tu.
Kuna jamaa waliweka upupu kwenye kiti cha mwalimu. Yule ticha aliipatapata. Aliruka kama chura dada wa watu. Baada ya kuwashwa kumuisha walimu wote walihamia darasani... zilitembezwa bakora ikabidi majaa yanitaje kinyume na makubaliano.
Kwa kuwa nilikuwa naaminika kwa upole wangu walimu wakaamini ni mimi nilihusika. Aisee nilichezea bakora na adhabu haijawahi tokea Afrika Mashariki na kati.
Sijui kwanini machalii wale walinitaja wakati sikuhusika. Mi nliweka kidogo tu.
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23] hahahha ila wee Jamaa....sikutegemea kucheka kiasi hiki leo,Kuna jamaa waliweka upupu kwenye kiti cha mwalimu. Yule ticha aliipatapata. Aliruka kama chura dada wa watu. Baada ya kuwashwa kumuisha walimu wote walihamia darasani... zilitembezwa bakora ikabidi majaa yanitaje kinyume na makubaliano.
Kwa kuwa nilikuwa naaminika kwa upole wangu walimu wakaamini ni mimi nilihusika. Aisee nilichezea bakora na adhabu haijawahi tokea Afrika Mashariki na kati.
Sijui kwanini machalii wale walinitaja wakati sikuhusika. Mi nliweka kidogo tu.
Kovu nnalo la kufinywa na bibi. Enzi hizo wageni wakija ilikuwa desturi kutengenezewa chai. Sasa nisipopewa nlikuwa na katabia ka kuingia chini ya meza nikijifanya nacheza afu naamka na meza ili chai imwagike tukose wote....[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23] hahahha ila wee Jamaa....sikutegemea kucheka kiasi hiki leo,
Nahisi utakua na makovu mengi mwilini
Nlikuwa na vituko hivi sasa nimekuwa na hekima na busara sana...So-called babu unavituko kweli
Hivi sasa nshazeeka... naongoza kwa kuwa mshengaDah! Inaelekea wewe ulikuwa mtundu mno!
Hao wanaokupa huo ushenga hawakujui....kwa vituko hivi unaweza kumpindua muoaji.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi sasa nshazeeka... naongoza kwa kuwa mshenga
Ahahahahaa dah... labda itokee tuHao wanaokupa huo ushenga hawakujui....kwa vituko hivi unaweza kumpindua muoaji.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wewe mzee unazeeka vibaya [emoji23][emoji23]Mi nakumbuka nilivoweka supagluu kwenye kinyeo cha kuku