Kwani nae huyu ni mhenga...NAHUJA upo?? wapi cocochanel
Nini msimamo wa wa Tz BARa kuhusu Muungano uliopo?Oya nitafutie link ya uzi unaoitwa "Muungano Tz na Zanz je tuuvunje?
Isije ikawa mtego huu.Hongera mkuu, nakuongeza kwenye orodha
Hawa wote wa 2007 mkuu mwaka mmoja baada ya JF kuanzishwaKwani nae huyu ni mhenga...
Nilikimbia kitambo, leo nimechungulia....wewe ni mhenga pia Mkuu.
Nilikimbia kitambo, leo nimechungulia.
Umenisahau au makusudi tuu
Mie niko toka 2007Mh! Nasikia shurti la kuwa Mhenga ni lazima uwemo humu kwa miaka saba kwenda juu ππ
Mie niko toka 2007
EwaaaMh! Sakayo! Ulibadili ID na kujiunga upya? Joined: Sep 10, 2015
Ewaaa