Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Mimi mwenyewe muhenga humu, nilianza na ID ya andunje mdogo, nikapoteza password, now natumia hii ya farusofia
 
hahahaahh, ahsante kwa kuniona pia ahsante Mwifwa kwa kuniweka kwenye orodha. Pia na mie namshukuru mwanaJF Nova Makunga ndie aliyenishawishi kujiunga na Jamboforums miaka hiyo.
Halafu kwa nini hujanishawishi na mimi hadi nikachelewa kiasi hicho[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15]
 
Nawakumbuka akina:

WomanofSubstance (jirani wa ukweli huyu na mtu mmoja poa sana) Mwafrika wa Kike, Kiranga, Mbu, Nyamayao, Mwanajamii One, Firstlady1, Fixed Point (MSULI) na wengineo wengi ambao walikuwa watu muhimu sana kwa michango yao ambayo illifanya Jamii Forums ipendwe sana na Watanzania ndani na nje ya nchi hata kwa majirani zetu wa Kenya na sasa kuwa tishio kubwa kwa Serikali.
Kibanga ampiga mkoloni
Field Marshal ES
Nyani Ngabu
Mtu wa pwani
AshaDii
 
Mnachambua kama karanga
Kweli mkuu.
Hawa member ndio wamefanya Forum iwe hai na kukua hadi leo hii, endapo Melo asingepata watu kama hawa pindi alipoanzisha hii Forum asingefanikiwa kuiimarisha peke yake
 
Wahenga wengi ni mambumbumbu
Wanatambia uhenga tu wakati kutangulia sio kufika na kuwahi darasani sio kuongoza darasa
 
Back
Top Bottom