Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Uzi Maalumu kwa Wahenga wa JamiiForums

Namna ya kuingia kwenye hiyo orodha tafadhari
Naomba nielezwe
 
Nimesoma majina yote hayo nimegundua hii JF inataka kupoteza uhalisia wake baada ya kuingia watu wa kushambuliana bila hoja zenye mshiko umebaki ukada tu
Majina niliyokuwa nayafuatilia kwenye thread zao kabla sijajiunga
Zilikuwa za kisomi na kitaalamu kweli kweli sio mipasho ya siku hizi
 
Hawa ni member waliojiunga kati ya mwaka 2006 na 2007.

Baadhi yao ni Platinum member cheo ambacho wamekipewa kwa kutoa ushirikiano wa michango ya kifedha kwa ajili ya kuendeleza hii Forum tangu ilipokuwa JamboForum na baadae ikawa JamiiForums.

Uzalendo wao ndio umeifanya JF ifike hapa na iendelee kuimarika hadi leo hii.

Sio vibaya tukiwakumbuka japo kwa ID zao za humu maana ni jambo jema pia tukiwajua watu walioipigania hii Forum.

Hii hapa chini ni baadhi ya Orodha yao.

1.Kichuguu
2. Mzee Mwanakijiji
3. Jasusi
4. Interested Observer
5. JokaKuu
6. Mwanagenzi
7. Mkira
8. Mlalahoi
9. FairPlayer
10. mTz
11. Nungwi
12. quarz
13. Eric Ongara
14. Field Marshall ES
15. Mswahili Old Acc
16. Mkuyuga
17. Ogah
18. DAR si LAMU
19. Mtu wa Pwani
20. Quemu
21. Mkama
22. BAK
23. Kwaminchi
24. Recta
25. MzalendoHalisi
26. Mkandara
27. Mbu
28. Sura-ya-Kwanza
29. Mtanzania
30. Rev. Kishoka
31. Nampula
32. Mutekanga
33. Rwabugiri
34. Madela Wa- Madilu
35. Kapinga.
36. Innocent
37. Shy
38. Bongolander
39. Nyani Ngabu
40. jmushi1
41. MtuKwao
42. Jamberi
43. Willo
44. Kitila Mkumbo
45. tafiti then jadili
46. JeiKei
47. Nsaji Mpoki
48. Koba
49. Gamba la Nyoka
50. eddy
51. NAHUJA
52. cocochanel
53. rpg
54. Game Theory
55. Kasongo
56. Hofsede
57. Kweli
58. Tusker Bariiiidi
59. Hauxtable
60. Safari_ni_Safari
61. Resi
62. Richard
63. Muadilifu
64. Peasant
65. Nyambala
66. August
67. Sanda Matuta
68. Mwawado
69. Msanii
70. Zebaki
71. dumuzi
Etc.

Hii ni baadhi tu ya orodha wengine ongezea wewe.
We jamaa una kumbukumbu za ajabu. Najua hujanitaja kwa kusudi maalum...

Hahahahha.... usiku huu huku Torabora najua huko utakuwa ushalala
 
We jamaa una kumbukumbu za ajabu. Najua hujanitaja kwa kusudi maalum...

Hahahahha.... usiku huu huku Torabora najua huko utakuwa ushalala
Hahahahaaaa.

Babu wewe pia ni muhenga ila kwa vigezo nilivyotumia hapa, kwako vimepita kushoto
 
Hahahahaaaa.

Babu wewe pia ni muhenga ila kwa vigezo nilivyotumia hapa, kwako vimepita kushoto
Hujanijua vizuri... enzi za jambo Forum nikitumia ID ileee...

Hapo hata Kaizer hayupo???

Enzi za DarHotWire... hahahaha

WomanOfSubstance umemwacha wapi kwa mfano? Kiranga? Blueray?

Ile ilikuwa JF ya ukweli kabla sijazeeka nafanya utani na wajukuu zangu

Nikikuambia kwa mfano Le Field Marshal ndo Le Mutuz Orijino utaniamni? Nakuambia tu sio kwamba niko siriaz
 
Hahahahaaa.

Babu najua miwani yako ilipotoboka na nywila ukaisahau hadi ukaja na ID hiyo ya kidonge.

WomanOfSubstance(2008), Kiranga(2009), blueray(2012) tume imesema vigezo bado havijatimia kuingia kwenye list ya uzi huu
 
Hahaha haya bhana... hao wote kwa taarifa yako walitaifishwa na Jambo Forums2006...

Sikujua kumbe wanatafutwa ma legends wa 2007 akiwemo dadaangu cocochanel

Kwa vigezo hivyo.... nimenawa mikono... mi bado mdogo.... hahahhaaa

Kila la kheri....
 
dar humu hadi mm wa 2010 sistahili kabisa nilikuta ishakuwa modern mno
 
Hahaha haya bhana... hao wote kwa taarifa yako walitaifishwa na Jambo Forums2006...

Sikujua kumbe wanatafutwa ma legends wa 2007 akiwemo dadaangu cocochanel

Kwa vigezo hivyo.... nimenawa mikono... mi bado mdogo.... hahahhaaa

Kila la kheri....
Sawa Babu.
Naona bibi yangu coco anaipeperusha bendera vizuri ya uhenga akisapotiwa na NAHUJA
 
Wapo na wengine wahenga wa miaka hiyo ila ni wale 'kimya kimya "
Kweli mkuu, kwenye hiyo list asilimia kubwa ni wazee na wamekuwa wanashiriki mijadala kwa nadra sana isipokuwa wachache ambao wapo active kama Nyani Ngabu, BAK, jmushi1, cocochanel, NAHUJA, JokaKuu, Safari_ni_Safari na wengineo..
 
Back
Top Bottom