Uzi maalumu kwa wale ambao tumejikarantine wenyewe kipindi hichi cha Covid19

Uzi maalumu kwa wale ambao tumejikarantine wenyewe kipindi hichi cha Covid19

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Huu ni Uzi maalumu wa kila mwanajamvi anaetaka lockdown
Maana wengi humu tuna taka lockdown na tumefikia hatua za kusema kuwa "Mimi na familia yangu tumejiweka lockdown"

Naomba ushere na wana JF juu ya lockdown na nini unachokifanya huko lockdown

Naanza na Mimi
Leo nimeamshwa na wife twende kansani misa ya kwanza nikamwambia mm siendi kukusanyika naogopa Covid19
Kumbe ni uvivu + kamchepuko ambacho ni mpangaji mwenzetu

Vipi kwako?
 
Write your reply...nipo huku ruvuma nimeji lock down mpaka singida kesi ya kumpa mimba kale ka mwanafunzi kanyaturu keupe ipoe na iishe ndo nirudi
 
Back
Top Bottom