Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi umeamgalia picha vizuri? Mbona kama hao watoto wana utapia mlo. Unajua unaweza kuzaliwa mjini alafu ukaishi maisha ya shida kuliko wa kijijiniWaliozaliwa mjini ni wa Dar slaam tu! Wengine wote wa mikoani ni wa vijijini!
Na hawawezi kujianika hapa.
Na sisi Wa Dareda ni mjiniWaliozaliwa mjini ni wa Dar slaam tu! Wengine wote wa mikoani ni wa vijijini!
Na hawawezi kujianika hapa.
Wewe ni huyo wa kwanza mbele ya baba yenu.
Alafu nilipo angalia avatar yako, kweli nimeamini kuna wanaume wanazidiwa akili na wake zao wallahi