UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

Moderator
unganisheni huu uzi
 
Ipo siku au ukiachana kukaa kwa shemeji yako ndio itakua kua uyaone.

Kwa kilaza kama wewe utaibiwa sana

Watu kama nyinyi ndio mnaamini anachokifanya huyu mganga manyau nyau hapa ni dawa na uchawi.

Huku wajanja kama sisi ndio tunawauzia waganga hizo chemistry materials ili aje awatapeli nyinyi manyumbu mnaoamini ushirikina.
 

Attachments

  • 5773614-6a62dd3b6f3d1e6f5dfbad770df457fc.mp4
    8.1 MB
Kuna jamaa mmoja alienda kwa lengo la kuweza kubashiri/kutabiri mechi mbalimbali, mganga akamwambia vua nguo zote kisha oga kwenye lile beseni pale....

Alipomaliza kuoga mganga kamchukua huyoo hadi kitandani kisha akaanza kumpaka mafuta makalioni. Jamaa kuona hivo akahamaki na kuuliza, mganga unataka kunifilah nini?

Baada ya lile swali mganga akamwambia mshenzi wewe kumbe unajua kutabiri tayari 😄😄
 
Moderator
unganisheni huu uzi
Huo ni shuhuda za kiganga lakini huu ni kwa waliowahi kwenda kwa waganga..... Tuuache tu nyinyi vijana wa afumbili mseme mlivyoenda kwa waganga 😊
 
Kuna jamaa mmoja alienda kwa lengo la kuweza kubashiri/kutabiri mechi mbalimbali, mganga akamwambia vua nguo zote kisha oga kwenye lile beseni pale....

Alipomaliza kuoga mganga kamchukua huyoo hadi kitandani kisha akaanza kumpaka mafuta makalioni. Jamaa kuona hivo akahamaki na kuuliza, mganga unataka kunifilah nini?

Baada ya lile swali mganga akamwambia mshenzi wewe kumbe unajua kutabiri tayari 😄😄
Huyu ni mwashambwa
 
Kwa kilaza kama wewe utaibiwa sana

Watu kama nyinyi ndio mnaamini anachokifanya huyu mganga manyau nyau hapa ni dawa na uchawi.

Huku wajanja kama tunawauzia waganga hizo chemistry materials ili aje awatapeli nyinyi manyumbu mnaoamini ushirikina.
Sawa mjanja nakutakia mafanikio mema.
 
Back
Top Bottom