Uzi maalumu kwa wale wote walio single

Uzi maalumu kwa wale wote walio single

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Katika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali.

Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa hawana mahusihano yoyote huu ndio uzi wenu tukutane hapa tujadili masuala mbalimbali yanoyowahusu ili kuweza kuondokana na upweke na kupata madiliko chanya.

Asante sana!
 
Wenzangu mko wapi
 
Ni kweli maisha ya single yana upweke sana hasa ukiwa tayari umeanza kujipata kimaisha... Ila sasa ni maisha fulani utakayokuja kuyamiss sana ukishaingia kwenye ndoa na mtu asiye sahihj, hasa uhuru ulio nao sasa
 
Siku hizi watu hawapo single kivile kwani watu wapo single ila still ndondo zinapigwa kama kawa.Wakati wakisubiri kufanya usajili wa kudumu. Kusema ile single kweli kweli siku hizi hamna,mtu ana lundo la maex bado kuna wale wakulana nao kimasihala.
 
Back
Top Bottom