Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Kelvinvevo we ni single mama au comment yako cjaielewa😅🤔 eneweiz hayanihusu mi mpitaji tuNkajua single maza kumbe watu single tu acha nisepe....
samirah nlisoma vibaya nlijua uzi unawahusu single mama.. kwani wewe single mamaKelvinvevo we ni single mama au comment yako cjaielewa😅🤔 eneweiz hayanihusu mi mpitaji tu
Wenzangu mko wapiKatika uhalisia wale wote walio masingle wamekuwa na upweke sana kwenye jamii hata hivyo ni kundi kubwa lenye mchango mkubwa kwenye jamii katika nyanja mbalimbali.
Kwa kutambua uwepo wao na mchango wao mkubwa katika jamii huu ni Uzi maalum kwa wale wote walio masingle hawajaowa wala kuolewa hawana mahusihano yoyote huu ndio uzi wenu tukutane hapa tujadili masuala mbalimbali yanoyowahusu ili kuweza kuondokana na upweke na kupata madiliko chanya.
Asante sana!