Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Next weekend tukutane pale Victoria kwa live band, walwa na nyama choma...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next weekend tukutane pale Victoria kwa live band, walwa na nyama choma...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Basi unaona umewazaa mwenyewe!
Napasikia sana hapo[emoji23][emoji23]Next weekend tukutane pale Victoria kwa live band, walwa na nyama choma...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mkuu, nilikua pale last Friday
Naam, nimeitika mjukuu.....[emoji5] [emoji5]
Nipokeee next week plsHahahaah wanachungulia mpaka bikini[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160]
Wewe pichu huwa unavaa?Hahahaah wanachungulia mpaka bikini[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160]
Kiuno chako tuu mrembo wangu, unajua kweli kukitumia aseeNiliwamiss Demiss miyee loooh!
Huu uzi nimeuanzisha maalumu kwa ajili ya wanajf wa Dodoma makao makuu.
Hapa tutasaidia kutaja sehemu mbalimbali kama vile;
1.Bar zinazobamba kwa sasa town
-Rainbow bar
-Rose garden Area D
-Malaika lounge
-Chako ni chako (kuku choma kwa sana)
-Stella bar nkuhungu
-Cape town kisasa
-Mwanga bar barabara ya 8.
-Lacharles Bar Nkuhungu
-Platinum bar ×3
2.Night club
-Club 7 Royal village hotel (inabamba kwa sasa)
-Maisha club
-Perugina club
-Harvana 84 club
3.Wapenda swimming pool
-Nashera hotel
-Morena hotel
-St Gasper hotel
-African dream hotel
-Fantasy village
Kwa wale wanaohamia Dodoma huu uzi upo kwa ajili yenu uliza chochote utajibiwa kama unahitaji nyumba ,chumba cha kupanga,hoteli nzuri sehemu za kupata chakula kizuri kama Cafe nzuri hapa ndo suluhisho lakooo.
4.Kwa wale wapenda kitimoto
-Wazee pub
-Jakana bar
-Mandengo bar
-KNCU pub ipagala
-Pork point
-Toroka uje karibu na Bunge
5.Mnada wa Msalato
-Kila Jumamosi tunahamisha milonjo Mnadani msalato kula nyama za kumwaga najua mnaelewa nini namaanisha kuhusu Mnadani.
6.Wapenda Totoz hapa nawaachia-----
----
7.Sehemu ya kukutana na mtu usiyemjua na umkimbie kama Demiss hapa ni NYERERE SQUARE Wameweka TV kwa ajili ya kucheki vitu mbalimbali.
8.Uliza swali lolote kuhusu maduka ya nguo,Tv,viatu,Urembo kwa wadada,saloon za kike na za kiume.
-Mafundi gereji,Car wash nzuri na Mafundi nyumba upate msaada.
HITIMISHO:
Kila Jumapili huwa naenda club 7 Royal village hotel kuenjoy maisha yenyewe mafupi.
Demiss Malaika Mwenyekiti wa JF Dodoma.