Uzi maalumu kwa Wanamaombi wa JF tukutaneni hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa ajili ya kuombeana, kuomba kwa ajili ya Watu wote kuombea taifa, kuombea watakatifu na kujiombea sisi wenyewe ili tusije kuachwa katika safari hii ambayo tumesikia kuwa wateule Ni wachache Sana kwa hivyo tu force katika hao wachache na sisi tuwepo yaani tuwakilishe hili kundi kubwa la members
Tusalini Sana tusiingie katika majaribu.
Ratiba ya kusali Ni KILa inapofika saa flani kamili tunasali Pamoja kwa imani.andika maombi yako hapa unayohitaji uombewe na hakika mwenyeziMungu hatatuacha.
Mambo Ni mengi Sana tuanze kwanza kuombea wagonjwa wapone kwa Imani wawe na roho dhabiti mola awaepushe na matatizo makubwa wamgeukie mwenyeziMungu atawaona.tuwaombee na walevi wote waache pombe waache kuteseka .tunagusa KILa Kona KILa hila za mwovu tunazinasua mitego yake yote ya kijinga jinga tunairarua
Nguvu ya mwanadamu ipo katika sala.
 
FB_IMG_1604661771070.jpg
 
Amen
 
Kumekucha tunasema Asante mwenyeziMungu kwa kutuhakikishia amani tunaahaidi tutakufuata wewe kwa siku nzima hi yaleo
 
Wako ambao hatujapata nafasi yakwenda makanisani lakini tunaungana ja wakristo wote duniani tunasema Asante kwa kutusamehe KILa tunapokosea lakini hii haimanishi tunatakiwa tukukosee Bali tuwe na hekima
 
Oyaa mwanangu ndege John sikia mwamba waambie watu waniombee kuna denti wa fomu Foo hapa hapa kwetu manzese nilikuwa tupo nae ktk mahusiano wazazi wake wamejua

wameenda nifungulia kesi nilienda kwa sangoma kesi izime mganga kasema ela ya uganga 35000 na mbuzi mmoja .ila nimeona huko sio kuzuri bora maombi niombee soo liishe lizime

Sirudii tena nimekoma
 
Nimefurahi sana kuuona huu Uzi,,Mwenyezi Mungu akubariki ndege JOHN ..Naombeni mniombee wakuu nna tatizo LA miguu kuwaka moto,nateseka sana na nipo chuo hadi imekua tabu kuingia hata darasani..nawaza sijui niahilishe mwaka!?Maombi yenu wadau..Mbarikiwe sana.
 
Mkuu umewahi kucheza mpira ukubwani? au kukimbia meter kadhaa?
 
Kwa ajili ya kuombeana, kuomba kwa ajili ya Watu wote kuombea taifa, kuombea watakatifu na kujiombea sisi wenyewe ili tusije kuachwa katika safari hii ambayo tumesikia kuwa wateule Ni wachache Sana kwa hivyo tu force katika hao wachache na sisi tuwepo yaani tuwakilishe hili kundi kubwa la members
Tusalini Sana tusiingie katika majaribu.
Ratiba ya kusali Ni KILa inapofika saa flani kamili tunasali Pamoja kwa imani.andika maombi yako hapa unayohitaji uombewe na hakika mwenyeziMungu hatatuacha.
Mambo Ni mengi Sana tuanze kwanza kuombea wagonjwa wapone kwa Imani wawe na roho dhabiti mola awaepushe na matatizo makubwa wamgeukie mwenyeziMungu atawaona.tuwaombee na walevi wote waache pombe waache kuteseka .tunagusa KILa Kona KILa hila za mwovu tunazinasua mitego yake yote ya kijinga jinga tunairarua
Nguvu ya mwanadamu ipo katika sala.
Nawaombea wazazi wangu tu
 
Hapana mkuu,,Mpira niliacha 2015 nipo kidato cha3,,hadi Leo takribani miaka mi5 sijawahi cheza Moira wala kukimbia umbali mrefu,,ila kutembea waga natembea sana2
Mkuu umewahi kucheza mpira ukubwani? au kukimbia meter k
 
Back
Top Bottom