ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa ajili ya kuombeana, kuomba kwa ajili ya Watu wote kuombea taifa, kuombea watakatifu na kujiombea sisi wenyewe ili tusije kuachwa katika safari hii ambayo tumesikia kuwa wateule Ni wachache Sana kwa hivyo tu force katika hao wachache na sisi tuwepo yaani tuwakilishe hili kundi kubwa la members
Tusalini Sana tusiingie katika majaribu.
Ratiba ya kusali Ni KILa inapofika saa flani kamili tunasali Pamoja kwa imani.andika maombi yako hapa unayohitaji uombewe na hakika mwenyeziMungu hatatuacha.
Mambo Ni mengi Sana tuanze kwanza kuombea wagonjwa wapone kwa Imani wawe na roho dhabiti mola awaepushe na matatizo makubwa wamgeukie mwenyeziMungu atawaona.tuwaombee na walevi wote waache pombe waache kuteseka .tunagusa KILa Kona KILa hila za mwovu tunazinasua mitego yake yote ya kijinga jinga tunairarua
Nguvu ya mwanadamu ipo katika sala.