Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Nikisema matatizo mbalimbali Namanisha matatizo kama ya kiafya, magonjwa ambayo umezunguka hospital zote madaktari hawaoni tatizo, sijui UKIMWI, magonjwa ya kansa, magonjwa ya hatari hatari, mengine ya Siri, pia mambo ya kiroho, kusumbuliwa na vitu vya ajabu ajabu, familia inapitia ama inaandamwa na mambo ya ajabu, mauchawi, kwenye familia mna watu wanapata matatizo ya ajabu kama kurukwa na akili, na mambo kama hayo. Na unakuta mtu anaepitia hayo Yuko tayari kutoa gharama yoyote alimradi apone maswaibu aliyonayo, na wengine wote.
Njoo hapa useme ili mtu yoyote ambaye ataguswa akusaidie. Kukaa nalo mwenyewe haisaidii, usikae na jambo ama kutaka kufa nalo sababu ya kukata tamaa, huwezi jua shida yako yaweza kutatuliwa kwanjia rahisi. Malaika na wenye kusaidia au wenye uwezo wa kutatua mambo mazito tunaishi nao mitaani huku huku.