The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
Kauli ya kichovu Sana hiii in the 21st century.Eti tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho....Endelea kujidanganya!
Mungu alishapanga kila kitu kuhusu wewe, hakuna wa kubadilisha.
Mimi ningeshauri vijana wapambane kotekote elimu inaumuhimu wake.Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.
Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.
Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.
Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.
Uzi tayar.
AmenMm ningeshauri vijana wapambane kotekote elimu inaumuhimu wake.
na kwenye kuchakarika kinachotakiwa ni mbinu Za kupambana kubadilika badala ya kutegemea vyeti tu sasa ni kuitumia elimu uliyoipata ya chuo au sekondari kuhakikisha unatoka either kwenye biashara, kilimo au kitu chochote kile ......
Aluuta kontinuaaa!
Kama unaujuzi wa kutengeneza kitu na kuuza,acha shule ukatengeneze.Na kama huna huo ujuzi,utafute kwa njia unayoifahamuHellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.
Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.
Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.
Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.
Uzi tayar.
Sometimes ni vema ukaficha UJINGA, kwa kukaa kimya. Alah!!!Eti tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho....Endelea kujidanganya!
Mungu alishapanga kila kitu kuhusu wewe, hakuna wa kubadilisha.
Mm ningeshauri vijana wapambane kotekote elimu inaumuhimu wake.
na kwenye kuchakarika kinachotakiwa ni mbinu Za kupambana kubadilika badala ya kutegemea vyeti tu sasa ni kuitumia elimu uliyoipata ya chuo au sekondari kuhakikisha unatoka either kwenye biashara, kilimo au kitu chochote kile ......
Aluuta kontinuaaa!
Wewe jamaa ni mwehu.Kauli ya kichovu Sana hiii in the 21st century.
Well said mkuu lakini vip wewe ushaacha hiyo shule?Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.
Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.
Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.
Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.
Uzi tayar.
Mm nataka nitembee na boom lao lijalo...Mtaji tutapata wapi?lol
Ndo najiandaa kisaikolojiaWell said mkuu lakini vip wewe ushaacha hiyo shule?
Mm nataka nitembee na boom lao lijalo...
Hayo ni mawazo yako wewe, kulingana na uwezo wako wa kufikiri.Wewe jamaa ni mwehu.
Tangu jf ianze hakujawah kutokea uzi wa kipumbavu Kama huu wa kwako.
Yaani njaa yako wewe ndio ikufanye uwashawishi watoto wa watu waache shule?
Kazi ya shule ni kupunguza wapumbavu wa aina yako wewe,kupata kazi au pesa ni matokeo tu na sio guarantee.
Kwa hii mada yako sidhani Kama umefika hata darasa la saba.
Maana mtu aliyefika hata form four hawezi kuandika upuuzi Kama huu.