The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,748
- 3,229
- Thread starter
- #21
Fungueni Uzi wenu mjitetee....[emoji1787][emoji1787]Hakuna uzi tuliodisco disco udsm [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungueni Uzi wenu mjitetee....[emoji1787][emoji1787]Hakuna uzi tuliodisco disco udsm [emoji23][emoji23][emoji23]
Well said.Kama unaujuzi wa kutengeneza kitu na kuuza,acha shule ukatengeneze.Na kama huna huo ujuzi,utafute kwa njia unayoifahamu
Sawa unaacha shule unaendelea kukaa kwa baba ako na mama ako au na kwenu unahama?Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.
Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia 80 inawaandaa graduates kua job seekers and not opportunity seekers.
Now days ni kawaida kumwambia graduates aliesomea kuendesha ndege ajiajiri, sasa cjui akanunue ndege yake.
Kwa wale wenye mawazo ya kuacha shule, njooni uku tupeane morali, tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho.
Uzi tayar.
Mkuu hata definition ya kuacha shule nayo mgogoro? Sasa ulifikaje fikaje humu? [emoji23]Walioacha shule niwapi? maana hata mwenye degree kaacha kuendelea na masters,madokta wameacha kuutafuta uprof,maprof wameacha shule ya kifaransa,kichina etc.
Alichoandika ni kweli mbona...kuna ubaya kwani.Sometimes ni vema ukaficha UJINGA, kwa kukaa kimya. Alah!!!
Angalia hili jinga nalo! siyo kuwa km BIll gate tu! mawazo yako yamefika ukingoni!! unge fikiria kuwa zaidi ya huyo tena mnooo! yaani ungekuwakribu ningekupiga risasi kenge weeee!Eti tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho....Endelea kujidanganya!
Mungu alishapanga kila kitu kuhusu wewe, hakuna wa kubadilisha.
Hili jamaa jinga sana, kweli nimeamini kuna majinga lukuki humu! sawa na ri shemeji langu eti liliniambia kupata kazi nisitegemee kuishi dsm!!! ni pagumu! nikae mkoani,Sometimes ni vema ukaficha UJINGA, kwa kukaa kimya. Alah!!!
We jamaa una mawazo finyu Sana.Eti tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho....Endelea kujidanganya!
Mungu alishapanga kila kitu kuhusu wewe, hakuna wa kubadilisha.
Kwahiyo Mungu alimpangia Bakhresa awe tajiri na mzee mudi awe ombaomba?Eti tunaweza kua akina Bill Gates wa kesho....Endelea kujidanganya!
Mungu alishapanga kila kitu kuhusu wewe, hakuna wa kubadilisha.