Uzi maalumu kwa Wasioamini katika Dini, lakini Waamini katika Mungu

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Kwa wale wote Wasio amini dini kama Mimi watoe sababu humu...
Naanza na Mimi
"Dini zote zpo kimaslahi(Pesa)
Michango kila kukicha utanzani Vicoba...au Mojabet
Nawasilisha Maono yangu....
Tafadhali Usinihukumu kwa Maono yangu..Tupia Maono yako kila MTU atazame mtazamo wako...
 
Mimi naamini katiks Mungu na dini
"Once a Catholic, Line and Die Catholic"
Purely and Proudly Catholic
 
Naamini Mungu yupo kupitia mimi pekee. Kanisani hujumuika tu kama mwanajamii lkn si sababu muhimu ya kumwomba mungu.
Dini zimeletwa na wakoloni ili kufanikisha michongo yao
 
Naamini Mungu yupo kupitia mimi pekee. Kanisani hujumuika tu kama mwanajamii lkn si sababu muhimu ya kumwomba mungu.
Dini zimeletwa na wakoloni ili kufanikisha michongo yao
100%
 
Mimi naamini katiks Mungu na dini
"Once a Catholic, Line and Die Catholic"
Purely and Proudly Catholic
Imekupa Mini cha manufaa.kama kumjua mungu hata ww unaweza kwa kusoma vitabu vitakatifu
 
Dini yangu imenisaidia kumjua, kumwamini na kumtegemea Mungu, na sasa namtumikia kwa nguvu na akili zangu zote hata nitakapokufa, amen
 
Dini yangu imenisaidia kumjua, kumwamini na kumtegemea Mungu, na sasa namtumikia kwa nguvu na akili zangu zote hata nitakapokufa, amen
Nothing...Hata bila Dini ungeweza kumjua na kumtumikia mungu..
Just keep busy na vitabu vitakatifu...
Wanakunyonya BADIRIKENI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…