kapesly Senior Member Joined Jan 1, 2017 Posts 163 Reaction score 108 Jun 6, 2018 Thread starter #21 Faru Kabula said: Uko peke yako, unasubiri maoni ya nani tena? Click to expand... Hata yako...but kama huamini Ktk Dini
Faru Kabula said: Uko peke yako, unasubiri maoni ya nani tena? Click to expand... Hata yako...but kama huamini Ktk Dini
xvid Member Joined Mar 23, 2018 Posts 79 Reaction score 62 Jun 6, 2018 #22 kapesly said: "Dini zote zpo kimaslahi(Pesa) Click to expand... je hii ndio sababu pekee inayo kufanya usiamini dini? kapesly said: Michango kila kukicha utanzani Vicoba...au Mojabet Click to expand... mambo mengi yana hitaji pesa, ambazo hazi shushwi kutoka mbinguni, bali ni michango ya hiari ya washiriki. labda wewe ungependa hizi taasisi za dini ziendeshwe kwa mfumo gani ili zisiwe za 'kimaslahi'?
kapesly said: "Dini zote zpo kimaslahi(Pesa) Click to expand... je hii ndio sababu pekee inayo kufanya usiamini dini? kapesly said: Michango kila kukicha utanzani Vicoba...au Mojabet Click to expand... mambo mengi yana hitaji pesa, ambazo hazi shushwi kutoka mbinguni, bali ni michango ya hiari ya washiriki. labda wewe ungependa hizi taasisi za dini ziendeshwe kwa mfumo gani ili zisiwe za 'kimaslahi'?