Uzi maalumu kwa Wasioamini katika Dini, lakini Waamini katika Mungu

Uzi maalumu kwa Wasioamini katika Dini, lakini Waamini katika Mungu

"Dini zote zpo kimaslahi(Pesa)

je hii ndio sababu pekee inayo kufanya usiamini dini?

Michango kila kukicha utanzani Vicoba...au Mojabet

mambo mengi yana hitaji pesa, ambazo hazi shushwi kutoka mbinguni, bali ni michango ya hiari ya washiriki.

labda wewe ungependa hizi taasisi za dini ziendeshwe kwa mfumo gani ili zisiwe za 'kimaslahi'?
 
Back
Top Bottom