Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Uzi wa kula kimasihara nadhani ndio utakuwa unaongoza kwa watu wenye vvuπŸ˜…
 
Zinaendana na dalili za TB
 
mwezi uliopita tumezika kijana mwenzetu, alikufa kwa presha baada ya kuambiwa ni positive,.....na hii ni baada ya mkewe kwenda kupima nae wakati wa kufungua kadi ya clinic maana mkewe ni mjamzito,....take care guys ❗
 
Hata yesu alisema "farijianeni kwa maneno hayo" wacha wafarijiane ila kusema kweli HIV ni gonjwa la aibu sana.
Lakini ni bora HIV kuliko cancer, kisukari, pressure, figo maana HIV unatakiwa kuzingatia tu dawa na kula matango kwa wingi.
 
Lakini ni bora HIV kuliko cancer, kisukari, pressure, figo maana HIV unatakiwa kuzingatia tu dawa na kula matango kwa wingi.
Uzi n mrefu kweli kweli huu.
Kiukweli hamna kilichobra iwe ukimwi, cancer, kisukari,pressure, figo...
Kila ugonjwa una changamoto zake..
Jilindeni2
 
Tuache uzinzi wadau,hii kitu sio nzuri ikikunasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…