Uzi maalumu kwa watu wenye UKIMWI

Kosakubwa ni wewe kupima huenda hata ukimwi haupo ni ofu tu.
 
Sio uungwana na Mimi sikua nimejipima before aisee tulipima tupo gudi.
Ila inatengeneza taharuki usipime yaani taharuki usipime.
Unaongozana na mchungaji yaan ni convoy
Pastor anajinasibu "najua tupo salama " akidhani sisi wadogo zake yohana mbatizaji 😁😁

BTW mi nilipelekwa na convoy pale levolosi kupimwa wakati nataka kuona hahahaha sisahaugi mpaka kesho
 
Pastor anajinasibu "najua tupo salama " akidhani sisi wadogo zake yohana mbatizaji 😁😁

BTW mi nilipelekwa na convoy pale levolosi kupimwa wakati nataka kuona hahahaha sisahaugi mpaka kesho
Mnaenda nae anatamani aingie kwenye kusomewa majibu mpimaji anakataa anasema pastor asubilie kwa nje..
 
Wengi wanaogopa kupima HIV,mi nimepima mwezi jana na wife,alikuwa ameenda kuanza clinic,kiufupi wote tupo -ve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…