ntabudjo Member Joined Jun 1, 2016 Posts 70 Reaction score 64 Feb 21, 2017 #1 habari ndugu zangu tupenane utaalam kidogovna bei za mahindi huko kwenu sisi kwetu saiz mahindi yamefikia 600 kwa kilo ila wakulima bado hawajavuna wakivuna nadhani yatapungua bei[emoji12]
habari ndugu zangu tupenane utaalam kidogovna bei za mahindi huko kwenu sisi kwetu saiz mahindi yamefikia 600 kwa kilo ila wakulima bado hawajavuna wakivuna nadhani yatapungua bei[emoji12]
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 13,997 Reaction score 15,112 Feb 21, 2017 #2 Soko limepatwa !!!
Abuwhythum JF-Expert Member Joined Jan 7, 2015 Posts 837 Reaction score 495 Feb 21, 2017 #3 Hahahahahah! Hapa Dar! Mtoto akimtuma unga dukani hakubali!
Dam55 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2015 Posts 5,641 Reaction score 11,958 Feb 21, 2017 #4 Loh!! Nimekuja mbio nikiwa nimeandaa tusi ambalo usingelisahau maisha yako yote. Bahati yako na risasi zingekuhusu.
Loh!! Nimekuja mbio nikiwa nimeandaa tusi ambalo usingelisahau maisha yako yote. Bahati yako na risasi zingekuhusu.