Uzi maalumu kwa wauza unga

Uzi maalumu kwa wauza unga

ntabudjo

Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
70
Reaction score
64
habari ndugu zangu
tupenane utaalam kidogovna bei za mahindi huko kwenu sisi kwetu saiz mahindi yamefikia 600 kwa kilo ila wakulima bado hawajavuna wakivuna nadhani yatapungua bei[emoji12]
 
Loh!! Nimekuja mbio nikiwa nimeandaa tusi ambalo usingelisahau maisha yako yote. Bahati yako na risasi zingekuhusu.
 
Back
Top Bottom