Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

Sir God your loyal soldier I'm back again, na Kama chipsi mioyo ya ma snitch endelea kuikaanga kwenye flampeni.

Bablai najua ma snitch kibao hawa taki ni exist, but mi niko fresh na na nina amani coz I know my savior una exist.

May you guide mimi, my family na hata washkaji zangu tuendelee ku exist Half american, makutupora min -me Bolotoba Edo kissy Thecoder Vishu Mtata, Zulu man, Ushimen, binti kiziwi, Selikavu, Kiranga adriz, Shimba ya Buyenze, and 100 others Black Sniper Grahams may we all live long and have a health life amen.
Amina kubwa mtumishi
 
Amina kijana,mshikaji wako niko hapa... mshika pesa lakini..!!
 
Nimejifunza kulidhiwa na kufanikiwa , ninajua udhaifu na ninajua Afya
Ninajua kupendwa na kukatiliwa.

Basi acha upepo nao Uvume -Mimi bado nitakuabudu wewe Bwana Chanzo cha Uhai wangu.
 
Mungu aliye hai na atupiganie..tunaomba Toba na rehema..
 
Back
Top Bottom