Uzi maalumu kwaajili ya maombi ya Alfajiri

Amina kubwa mtumishi
 
Amina kijana,mshikaji wako niko hapa... mshika pesa lakini..!!
 
Nimejifunza kulidhiwa na kufanikiwa , ninajua udhaifu na ninajua Afya
Ninajua kupendwa na kukatiliwa.


Basi acha upepo nao Uvume -Mimi bado nitakuabudu wewe Bwana Chanzo cha Uhai wangu.
 
Mungu aliye hai na atupiganie..tunaomba Toba na rehema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…