Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Achana nae huyo angalia picha yake kwanza!Ni ipi hiyo tueleweshe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo angalia picha yake kwanza!Ni ipi hiyo tueleweshe mkuu
Poa poa mkuu tupo pamoja mkuu Tanzania ya viwanda ndo hii.Japo umeingilia nipo kuupanga Uzi mdau wangu ila katika ujasiriamali kawaida
Asante mkuuAchana nae huyo angalia picha yake kwanza!
Karibu sana weka ndugu mashine zako tusaidie wenzetu wahitajiPoa poa mkuu tupo pamoja mkuu Tanzania ya viwanda ndo hii.
Asante sana mkuu tunashukuru kwa pongeziNiwapongeze
Ila maswali yangu ni haya
1. Hizi mashine za kusaga na kukoboa naona hamna mabadiliko makubwa kwa kipindi kirefu japo teknolojia zinazidi kukua, mapungufu hayawezi kukosekana nategemea mabadiliko kila baada ya muda fulani, japo hili lahitaji timu ya utafiti na uchunguzi wa muda mrefu ili kubaini maboresho muhimu.
2. Mashine zinazotumika kuzalisha vyakula vya binadamu kwanini hamtumii stainless steel sheet ili kupunguza ama kudhibiti contamination ya vyakula ama mazao yanayosagwa. na pia kurahisisha usafishwaji.
Nina wateja tumewabadilishia mashine zao walikimbilia za nje zimewapiga kingine hata kwenye mashine za alizeti kilio kimetawala hukoNiwapongeze
Ila maswali yangu ni haya
1. Hizi mashine za kusaga na kukoboa naona hamna mabadiliko makubwa kwa kipindi kirefu japo teknolojia zinazidi kukua, mapungufu hayawezi kukosekana nategemea mabadiliko kila baada ya muda fulani, japo hili lahitaji timu ya utafiti na uchunguzi wa muda mrefu ili kubaini maboresho muhimu.
2. Mashine zinazotumika kuzalisha vyakula vya binadamu kwanini hamtumii stainless steel sheet ili kupunguza ama kudhibiti contamination ya vyakula ama mazao yanayosagwa. na pia kurahisisha usafishwaji.
Nakubaliana nawewe, na kiukweli katika vitu watu wanakosea ni kuangalia gharama badala ya ubora,Nina wateja tumewabadilishia mashine zao walikimbilia za nje zimewapiga kingine hata kwenye mashine za alizeti kilio kimetawala huko
Wanarudi tuwatengenezee za nje nyingi bei ndogo ila hazihimili mazingira yetu
Ninaishusha endelea kufuatilia huu uziUzi mzuri.
Machine ya kukamulia mafuta Aina zote zipo?(nikimaanisha si za alizet pekee)
Mfano mashine ya alizeti ya kutoka nje ipo mpaka ya million saba lakini kwetu ukitaka mashine nzuri ikiwa na heater zake ni zaidi ya million 15Nakubaliana nawewe, na kiukweli katika vitu watu wanakosea ni kuangalia gharama badala ya ubora,
Asantee tunashukuruHongereni sana. Kazi nzuri.