Uzi maalumu: Matukio yaliyochukiza kwenye Awamu ya Tano

Uzi maalumu: Matukio yaliyochukiza kwenye Awamu ya Tano

- sheria ya hovyo ya mifuko ya hifadhi za jamii- vikokotoo vya kupunja wafanya kazi, kuzuia watu kuchukuwa mafao yao pindi pale mikataba ya kazi inapo koma.
- sheria kandamizi ya bodi ya mikopo, inayo tekelezwa kibabe kwa kulazimisha wakopaji kukatwa kinyume na mikataba yao.
- Bunge kuzimwa, unyanyasaji wa upinzani.
-Zengwe thidi ya CAG.
- Matumizi ya serekali yasiyo idhinishwa na Bunge.
 
Kwa mala ya kwanza chini ya yesu mpya Tanzania inakua gulio la wabunge na madiwani wa upinzani pamoja na wanasiasa wenye bei. Tumeandika history mbaya kwenye uso wa Dunia.
 
Vyama vya upinzani kuwa kama miradi ya watu flani kujipatia fedha
 
Nakumbuka na ile tumbua tumbua iliyokosa staha hadi watendaji kupandwa na pressure
 
Mipango ya kumuua lissu baada ya hotuba hii haitasahaulika kwenye historia ya Tanzania huru.
 
Back
Top Bottom