- sheria ya hovyo ya mifuko ya hifadhi za jamii- vikokotoo vya kupunja wafanya kazi, kuzuia watu kuchukuwa mafao yao pindi pale mikataba ya kazi inapo koma.
- sheria kandamizi ya bodi ya mikopo, inayo tekelezwa kibabe kwa kulazimisha wakopaji kukatwa kinyume na mikataba yao.
- Bunge kuzimwa, unyanyasaji wa upinzani.
-Zengwe thidi ya CAG.
- Matumizi ya serekali yasiyo idhinishwa na Bunge.