kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
@kennytrump huyu mwamba yupo wap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni mmoja wa vichwa vizuri vilivyopo hapa JF,lifecoded uyu mwamba sijui kama yupo alinifanya nipende sana jamiiforum.
Mbona kapigwa bann?Huyu jamaa ni mmoja wa vichwa vizuri vilivyopo hapa JF,
Mwamba yupo vizuri sana.
Ahahahahahaha jukwa la makatekista
Nme mmic pia huyu.
Yeah. Maana siku hizi wameingia watoto wasioweza kusimamia mijadala yenye tija zaidi ya siasa za vyama vyao. Pamoja sanaNipo, napita humu mara kadhaa kwa siku kule jukwaa la siasa. Msomaji na mtazamaji zaidi.
Jukwaa la kutoana hamu...(sahv nimekuwa natumia tafsida mpwa)Ahahahahahaha jukwa la makatekista
Nawaza kwenye lile jukwaa, hii sentensi sijui ungeiandikaje wallahJukwaa la kutoana hamu...(sahv nimekuwa natumia tafsida mpwa)
Acha tu mpwaNawaza kwenye lile jukwaa, hii sentensi sijui ungeiandikaje wallah
Tangu watufungie Jukwaa letu pendwa umeadimika madame [emoji16]Acha tu mpwa