MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nipo MALCOM LUMUMBAPrishaz umejificha wapi mkuu ???
Vipipi mnato vya mademuHuyu siku hizi amekuwa mhudumu wa gest na anauza "pipi" kinyama.
Hahahaaaa. Itabidi nijitolee nimsake kwa juhudi zote hadi ujumbe wako aupate Mkuu. Teh teh.Mi namtafuta @emitah nilikuwa nampenda huyu mdada sema maskini hakulijuwa hilo.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Utakuwa umenisaidia sana aisee ki ukweli nilikuwa nampenda kwa dhati.Angeujuwa ukweli huu angenitunuku make hata humu aliacha kitambo.Kama unamjua msalimie sana mwambie kuna mtu anakupenda sana muonee hurumaHahahaaaa. Itabidi nijitolee nimsake kwa juhudi zote hadi ujumbe wako aupate Mkuu. Teh teh.
Hahahaaa. Lol.Utakuwa umenisaidia sana aisee ki ukweli nilikuwa nampenda kwa dhati.Angeujuwa ukweli huu angenitunuku make hata humu aliacha kitambo.Kama unamjua msalimie sana mwambie kuna mtu anakupenda sana muonee huruma
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Dogo Mwifwa sijamuona muda....
Ehh bwana , huwa namuona Twitter tu.....Yupo