Uzi maalumu mtafute member aliyopotea

Uzi maalumu mtafute member aliyopotea

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
huu ni uzi maalumu muulizie member yeyote unayehisi amepotea na haonekani kwenye Forum kwa sasa,
ili kama yupo na akiona ajibu hapa kama yupo
 
Kuna jamaa alikuwa anajiita HEAD TEACHER, mwingine gogle alizushiwaga amekufa miaka ya 2014 huko.
 
Back
Top Bottom