Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Hata mm wanaume kutumia kigezo cha wanaume kutaka mwanamke mwenye chura huwa kinanikeraa sana
Binafsi sipendi chura,sinaga option naweza penda kitu halafu nikashindwa kueleza kwann,muhimu nimependa,na sijari km unanipenda au la, mm na angalia upendo Wangu kwako basi
 
Hata mm wanaume kutumia kigezo cha wanaume kutaka mwanamke mwenye chura huwa kinanikeraa sana
Ni siku nyingine mpya tena, tarehe nyingine mpya tena, mwezi mwingine mpya tena.

Ni wengi walitamani kufika hii siku, tarehe na mwezi mpya lakini kwa mapenzi ya Muumba hawajaweza kufika.

Mimi na wewe ambao tumefika hatuna budi kushukuru sana! Kwani sisi tumemshawishi kwa lipi hadi atufikieshe hapa? Hilo ni swali la kujiukiza na kutafakari.

Asubuhi njema cha mdeko!!
 
Asante kila nionapo maneno matamu kutoka kwako napata nguvu mpya kabisa na siachi kumshukuru mungu kwa uzima aliotupa Mimi na wewe hakika inapendeza sana na iwe siku njema kwetu iliyojaaa baraka.

GOOD [emoji4] MORNING!
[emoji297][emoji92][emoji92][emoji297][emoji92][emoji92][emoji297]
[emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92]
[emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92]
[emoji297][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji92][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji92][emoji92][emoji92][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji297][emoji92][emoji297][emoji297][emoji297]
[emoji258] MY BEST FRIEND
 
Bahati mbaya tu ,Nisamehe [emoji120] ,sorry Demiss
Una chembe chembe za upendo wa.........




[emoji92][emoji254][emoji254][emoji92][emoji254][emoji254][emoji92]
[emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254]
[emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254]
[emoji92][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji92]
[emoji92][emoji92][emoji254][emoji254][emoji254][emoji92][emoji92]
[emoji92][emoji92][emoji92][emoji254][emoji92][emoji92][emoji92]
 
Upendo wa nn tena ,ila nashukuru nawe kuanza kunipenda taratibu[emoji120] [emoji8] [emoji8]
 
Upendo wa nn tena ,ila nashukuru nawe kuanza kunipenda taratibu[emoji120] [emoji8] [emoji8]
[emoji297][emoji8][emoji8][emoji297][emoji8][emoji8][emoji297]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji297][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji8][emoji8][emoji8][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji297][emoji8][emoji297][emoji297][emoji297]
 
[emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] [emoji173]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…