Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

[emoji297][emoji8][emoji8][emoji297][emoji8][emoji8][emoji297]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji297][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji8][emoji8][emoji8][emoji297][emoji297]
[emoji297][emoji297][emoji297][emoji8][emoji297][emoji297][emoji297]
Asubuhi njema cha mdeko
Uwe na siku njema yenye baraka na upendo
 
Ni siku nyingine mpya tena, tarehe nyingine mpya tena, mwezi mwingine mpya tena.

Ni wengi walitamani kufika hii siku, tarehe na mwezi mpya lakini kwa mapenzi ya Muumba hawajaweza kufika.

Mimi na wewe ambao tumefika hatuna budi kushukuru sana! Kwani sisi tumemshawishi kwa lipi hadi atufikieshe hapa? Hilo ni swali la kujiukiza na kutafakari.

Asubuhi njema cha mdeko!!
Leo sitamani hata kukiachia Kitanda jaman Khaaa ngj Niamke

Shikamooooooooooooo Mwifwa
 
Asubuhi njema na yenye baraka tele tena ilojaa mafanikio tele!
Nakuombea kwa Mungu akutangulie katika njia zako zote na maisha yako yote!!!!!!

Kwako Demiss.
 
Asubuhi njema na yenye baraka tele tena ilojaa mafanikio tele!
Nakuombea kwa Mungu akutangulie katika njia zako zote na maisha yako yote!!!!!!

Kwako Demiss.
Oooooh Waooooh jaman Asante sana yani nimepata nguvu zisizoelezeka
 
Back
Top Bottom