Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji8] [emoji8][emoji124] [emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8] [emoji8][emoji124] [emoji124]
[emoji7] [emoji7][emoji8] [emoji8]
Pole na uchovu wa kuamka baeSalam kabsa
Na jinsi ulivyoweka silence nimepiga hujasikia......hii Kitanda imenifanya mbaya Leo mpaka saivi sijaamka nimechelewa kusalimia asubuhi kaka angu![]()
Mbona hujanipigia simu mpaka nimepitiwa kiasi hiki Jamanii
Uwe na asubuhi NjemaNgoja niangalie missed call maana Nimeamka nikakimbilia jf
AminaaBut kwa ujumla Dada zangu wote wa umu nfani nawapenda sana Bwana awe nanyi kwa sku ya leo penye ugumu akapate kuwalegezea hili mambo yenu yakawe safi.
Asubuhi ni zawadi ambayo tunapaswa kujivunia.Ngoja niangalie missed call maana Nimeamka nikakimbilia jf
[emoji173] [emoji173][emoji173]
Ni jambo LA kumshukuru mungu kutupa Tena uzima kwa siku ya Leo Nikutakie asubuhi njema na Usisahau kwenda kusaliAsubuhi ni zawadi ambayo tunapaswa kujivunia.
Anza kwa kutabasamu na kila kitu/jambo zuri litafuatia.
Asubuhi njema cha mdeko
[emoji178] [emoji180] [emoji173] [emoji178] [emoji180] [emoji173] [emoji178] [emoji180]
[emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257] [emoji257]
Napata hofu juu ya huyu MTU ,naunda tumeNi jambo LA kumshukuru mungu kutupa Tena uzima kwa siku ya Leo Nikutakie asubuhi njema na Usisahau kwenda kusali
[emoji256] [emoji295]
[emoji256][emoji256]
[emoji256][emoji256][emoji256]
[emoji320] Have a
nice weekend!