Sijambo ndugu. Pole ndio naona leo. Mzima?Hi emmyta wherever you are.
[emoji173] [emoji173]
Asubuhi njema!Waooooh mm Mzma Nashukuru mungu
Nakuombea Furaha yako iongezeke kama BEI YA PETROL, Matatizo yako yapungue kama KURA ZA CCM 2015, UMAARUFU wako uzagae kama Bidhaa za Kichina, ADUI zako WAFULIE Kama TANESCO, Shida na Tabu zipotee kama BABU wa LOLIONDO.ASUBUHI NJEMA.Asubuhi njema!
Amina [emoji120]Ahsante sana rafiki na kwako pia Mwenyezi Mungu akusimamie uwe na asubuhi njema yenye kila la kheri.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji177] [emoji173] santeee honey..
[emoji180] [emoji257] Don’t blame God for not showering you with gifts. He gives you the gift of a new day with every single morning.[emoji257] [emoji180]Nakuombea Furaha yako iongezeke kama BEI YA PETROL, Matatizo yako yapungue kama KURA ZA CCM 2015, UMAARUFU wako uzagae kama Bidhaa za Kichina, ADUI zako WAFULIE Kama TANESCO, Shida na Tabu zipotee kama BABU wa LOLIONDO.ASUBUHI NJEMA.
Nilipoamka Asubuhi hii!! Mawazo yangu yote yalikuwa juu yako. Nikajiuliza Nikufanyie nini 'Ewe Ndugu yangu Mpendwa ili Ufurahie Siku nzima.! Nikapata Jibu, kwa Furaha na Tabasamu ni Dua tu Ndio Jambo Kubwa: @Ya Allah, @Ya Rahman, @Ya Rahim, Nakuomba MOLA wangu: -Umuenzi, -Umlinde, -Mtunze, -Muepushe na Kila Balaa na Husda za watu Wabaya, Kwani Mtu huyu ni Mwema Sana Kwangu: -Mfungulie Riziki za Halali, na Msamehe Anapokosea na muitikie dua zake na zangu kwa jambo lolote la kheri![emoji180] [emoji257] Don’t blame God for not showering you with gifts. He gives you the gift of a new day with every single morning.[emoji257] [emoji180]
Good morning Cha mdeko and have a nice morning!
Nimeipenda hii mdogo wangu inabidi Mwifwa akija hiki kipande tukitoe copy kikae bale barazani sababu ni maneno yenye hekma na yaliyo matamu kuyasoma kila Uchwao.Nilipoamka Asubuhi hii!! Mawazo yangu yote yalikuwa juu yako. Nikajiuliza Nikufanyie nini 'Ewe Ndugu yangu Mpendwa ili Ufurahie Siku nzima.! Nikapata Jibu, kwa Furaha na Tabasamu ni Dua tu Ndio Jambo Kubwa: @Ya Allah, @Ya Rahman, @Ya Rahim, Nakuomba MOLA wangu: -Umuenzi, -Umlinde, -Mtunze, -Muepushe na Kila Balaa na Husda za watu Wabaya, Kwani Mtu huyu ni Mwema Sana Kwangu: -Mfungulie Riziki za Halali, na Msamehe Anapokosea na muitikie dua zake na zangu kwa jambo lolote la kheri!
Aamin..S.Njema.
Cha mdeko
Karibu sana mdogo wangu.Asante sana dada angu mpendwaaa
Nina mambo saba ya kukuambia,Nilipoamka Asubuhi hii!! Mawazo yangu yote yalikuwa juu yako. Nikajiuliza Nikufanyie nini 'Ewe Ndugu yangu Mpendwa ili Ufurahie Siku nzima.! Nikapata Jibu, kwa Furaha na Tabasamu ni Dua tu Ndio Jambo Kubwa: @Ya Allah, @Ya Rahman, @Ya Rahim, Nakuomba MOLA wangu: -Umuenzi, -Umlinde, -Mtunze, -Muepushe na Kila Balaa na Husda za watu Wabaya, Kwani Mtu huyu ni Mwema Sana Kwangu: -Mfungulie Riziki za Halali, na Msamehe Anapokosea na muitikie dua zake na zangu kwa jambo lolote la kheri!
Aamin..S.Njema.
Cha mdeko