Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

[emoji173] [emoji173]
ab1b9170d1c2d02ab9161c8789b8d71a.jpg
 
Asubuhi njema!
Nakuombea Furaha yako iongezeke kama BEI YA PETROL, Matatizo yako yapungue kama KURA ZA CCM 2015, UMAARUFU wako uzagae kama Bidhaa za Kichina, ADUI zako WAFULIE Kama TANESCO, Shida na Tabu zipotee kama BABU wa LOLIONDO.ASUBUHI NJEMA.
 
[emoji180] [emoji257] Don’t blame God for not showering you with gifts. He gives you the gift of a new day with every single morning.[emoji257] [emoji180]

Good morning Cha mdeko and have a nice morning!
 
Nilipoamka Asubuhi hii!! Mawazo yangu yote yalikuwa juu yako. Nikajiuliza Nikufanyie nini 'Ewe Ndugu yangu Mpendwa ili Ufurahie Siku nzima.! Nikapata Jibu, kwa Furaha na Tabasamu ni Dua tu Ndio Jambo Kubwa: @Ya Allah, @Ya Rahman, @Ya Rahim, Nakuomba MOLA wangu: -Umuenzi, -Umlinde, -Mtunze, -Muepushe na Kila Balaa na Husda za watu Wabaya, Kwani Mtu huyu ni Mwema Sana Kwangu: -Mfungulie Riziki za Halali, na Msamehe Anapokosea na muitikie dua zake na zangu kwa jambo lolote la kheri!
Aamin..S.Njema.

Cha mdeko
98ed1c46e47e46e2816c8a2aa00b21ac.jpg
 
Nimeipenda hii mdogo wangu inabidi Mwifwa akija hiki kipande tukitoe copy kikae bale barazani sababu ni maneno yenye hekma na yaliyo matamu kuyasoma kila Uchwao.

Jumaa Karim Demiss
 
Nina mambo saba ya kukuambia,
lakini kwa sasa nakumbuka [emoji642] tu,

bila shaka [emoji641] ndio muhimu kwa leo,
ila unayopaswa kujua ni [emoji640] kwa sasa,
oooh usijali nitakuambia [emoji639] tu,

ila kwa jinsi ulivyo naona nianze na [emoji638] muhimu,

ila yatakugusa sana na kwa kuwa sipendi kukuumiza naomba niseme [emoji637] tu .

[emoji180] [emoji257] Asubuhi njema cha mdeko[emoji257] [emoji180]
 
Nimeipenda hii mdogo wangu inabidi Mwifwa akija hiki kipande tukitoe copy kikae bale barazani sababu ni maneno yenye hekma na yaliyo matamu kuyasoma kila Uchwao.

Jumaa Karim Demiss
Wazo lako zuri Dada yangu, sasa imebaki ni utekelezaji tu.

Good morning my Sister[emoji137]
 
Back
Top Bottom