Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Napenda nikutakie majukum mema mtoto mrembo kuliko wote Jf.
Cc Mzigua90
 
Wazo lako zuri Dada yangu, sasa imebaki ni utekelezaji tu.

Good morning my Sister[emoji137]
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vema, mpaka kutakapo pambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.

Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu;bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa MUNGU,Wakiongozwa na roho mtakatifu.

Jumapili njemaa

Cha mdeko napenda kudekaaaa
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Maisha ni safari yenye kuwa na mwisho, kila ukisogea hatua moja mbele ujue kuwa unaukaribia mwisho wa safari yako. Hauna budi kushukuru kwa kuongeza hatua nyingine kwa siku ya leo maana sio kwa mapenzi yako ila ni kwa mapenzi ya Muumba wako.

Asubuhi njema na siku njema cha mdeko!!
 
When you arise in the morning, think of what a precious privilege it is to be alive -to breathe, to think, to enjoy, to love.....
 
Asipojiuzulu ZUMA LEO AMA KESHO NAJIUZULU MM JF
 
salamu zangu zimwendee MH Zuma popote alipo asbh hii
 
Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA?

Nasubiria unifutee machozi kwa Zawadi ya Valentine si Unajua lakini kwann nilikwambia nimelia sana cha mdeko huwa nanyamaza mpaka nipewe Zawadi ya uaaa LA kupendeza
 
Ni siku nyingine tena kwa Mapenzi yake Muumba!

Asubuhi njema cha mdeko!
No matter which stage of life you are at. If you are in love, it will keep you young and energetic.

Uwe na asubuhi njemaa
 
Asubuhi njema cha mdeko
Chai maalum kwa ajili yako asubuhi hii! Ila haina sukari lakini ina viungo kama UPENDO, FURAHA,KUKUJALI na kukutakia asubuhi njema..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…