Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Mwifwaaaaaaa nakutakia asbh njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vema, mpaka kutakapo pambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.Wazo lako zuri Dada yangu, sasa imebaki ni utekelezaji tu.
Good morning my Sister[emoji137]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vema, mpaka kutakapo pambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu;bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa MUNGU,Wakiongozwa na roho mtakatifu.
Jumapili njemaa
Cha mdeko napenda kudekaaaa
Maisha ni safari yenye kuwa na mwisho, kila ukisogea hatua moja mbele ujue kuwa unaukaribia mwisho wa safari yako. Hauna budi kushukuru kwa kuongeza hatua nyingine kwa siku ya leo maana sio kwa mapenzi yako ila ni kwa mapenzi ya Muumba wako.Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vema, mpaka kutakapo pambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu;bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa MUNGU,Wakiongozwa na roho mtakatifu.
Jumapili njemaa
Cha mdeko napenda kudekaaaa
Ahsante Sana,nakutakia Asubui njema pia na siku yenye mafanikioAsubuhi njema unayesoma...
Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakiaMaisha ni safari yenye kuwa na mwisho, kila ukisogea hatua moja mbele ujue kuwa unaukaribia mwisho wa safari yako. Hauna budi kushukuru kwa kuongeza hatua nyingine kwa siku ya leo maana sio kwa mapenzi yako ila ni kwa mapenzi ya Muumba wako.
Asubuhi njema na siku njema cha mdeko!!
Ni siku nyingine tena kwa Mapenzi yake Muumba!Kwan Jana usiku nimefikia kajiuzulu
Asubuhi njema cha mdekoNo matter which stage of life you are at. If you are in love, it will keep you young and energetic.
Uwe na asubuhi njemaa