Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Nasikitika uzi wa kutakiana asubuhi njema ndio nauona saa tisa hii.
Anyway,niwatakie jioni njema wadau wote wa humu jamvini.
Tupendane,tuheshimiane,tusameheane pale tunapokwazana na pia tuombeane yaliyo mema.
Na kwako pia mkuu.

Mia mia!!
 
Kwako Miss Natafuta kokote uliko nakutafuta, ili nikutakie siku njema iliyojaa Baraka na mafanikio. Na kwenu wana JF wote muwe na siku nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…