Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKesho asubuhi Usisahau kumtakia asubuhi njema umpendaye
Na kwako pia mkuu.Nasikitika uzi wa kutakiana asubuhi njema ndio nauona saa tisa hii.
Anyway,niwatakie jioni njema wadau wote wa humu jamvini.
Tupendane,tuheshimiane,tusameheane pale tunapokwazana na pia tuombeane yaliyo mema.
Poleee cha wivuuu
Ahsante sana Kaka wa Green. Nawe pia uwe na asubuhi njema yenye kila la kheri na wingi wa baraka tele.Haya asee"""""Emmyta kokote ulipo Asubuhi mubashara na M/mungu abariki kazi ya mikono yako"""""
C.c Tarime empire
Morning dada wangu wa heshimaAhsante sana Kaka wa Green. Nawe pia uwe na asubuhi njema yenye kila la kheri na wingi wa baraka tele.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Morning Kaka. Niaje aisee!Morning dada wangu wa heshima
Ni poa aisee Dada.. Mimi mzima wa afyaMorning Kaka. Niaje aisee!
Kitambo sijakuona kaka. Mzima wewe?
Nafurahi kusikia hivyo kaka. Pia ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu kama uzima upo.Ni poa aisee Dada.. Mimi mzima wa afya
Nipo siku hizi napita kimyakimya