Haswaa, huko ndiyo gorofani!Hapana naishi sehemu yenye mwinuko
Na mimi nakuja hukohukoNakuja tsap tuyajengeee
Ahaaaa.Haswaa, huko ndiyo gorofani!
Ahsante, unapendwa pia! Enjoy your time.Nawapendeni nyote muwe na siku njema
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Na mimi nakuja hukohuko
Mmmmmmhhhhh"Mambo " unataka kulifaragua hili neno nn Mamboloooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakuja chap sasa hiviNjooo magorofani kwetu hakuna mafuriko nakuweka Ghorofa ya 5 itapendezaa sana
Group mbona lipo, au hujaliona?Twenden tukatengeneze group tsap