Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DUH AISEE,HIVI SIWEZI KUMPIKU Mshana Jr KWA HUYU MTOTO Demiss KWELI DOH....Kwako Mwifwa
Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.
Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.
Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.
Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.
Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.
Demiss (Cha mdeko)
PoaMambooo
Mimi mzima hofu kwakoNambieeee
Nawaonaa.... Kumbe mmepona mafuriko!Mimi mzima hofu kwako
Hahahaah.Nawaonaa.... Kumbe mmepona mafuriko!
He hee manini tena?Mambooo
Aaaah safiii, kumbe unaishi "magorofani"Hahahaah.
Huku hakuna mafuriko mkuu
Hapana naishi sehemu yenye mwinukoAaaah safiii, kumbe unaishi "magorofani"
NakusubiriNakuja tsap tuyajengeee
Hapana usiongee isiyofaa, nimejiuliza tu kwa sauti! Niko mzima kwakweli, naamini nawe uko njema!Unataka niongeee lugha isiyofaaa u mzimaa lakin?