Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Kumekucha kipenzi rafiki jana sijakuona umepatwaa na nn ?

Ukimyaaa wako unatishaa siyo kawaida
Walimwengu sijui wakoje, nimejifunza mengi.

Maumivu niliyonayo sidhani kama yanaweza kuisha

Bado nipo kitandani hadi muda huu naugulia maumivu yasiyokuwa na kifani.

Naomba nikutakie Asubuhi njema, yenye Amani, Baraka, Upendo kwa watu wote!!!
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Walimwengu sijui wakoje, nimejifunza mengi.

Maumivu niliyonayo sidhani kama yanaweza kuisha

Bado nipo kitandani hadi muda huu naugulia maumivu yasiyokuwa na kifani.

Naomba nikutakie Asubuhi njema, yenye Amani, Baraka, Upendo kwa watu wote!!!
Pole sana mkuu mwifwa.
 
Nimtakie asubuhi njema yenye kila la kheri rafiki yangu kipenzi Davet. Naamini kila ukaapo unajua nafasi uliyo nayo katika moyo wa Hajar iwe ni katika kushauriana, kuelekezana na hata kukosoana.

Uwe na asubuhi njema rafiki pia jua siku zote Hajar anakuombea kwa Allah azidi kukupa busara na utulivu katika kufanya maamuzi yaliyo bora katika mambo yako mbalimbali unayokutana nayo.

Ubarikiwe sana rafiki. Insha Allah.
 
Mambooo kipenzi rafiki unajua leo nina furaha sana unajua kwann ?
Ewaaaaah sitaki ujue kwann?
Daaaahh!!
Sikupata notification toka hiyo siku ndio maana sikuweza kujibu hii reply.

Nadhani kwa sasa unaweza kuja kinieleza ulikuwa na furaha gani!

Nikutakie Asubuhi njema, yenye upendo, ukarimu, baraka tele kwa mtu katika jamii inayokuzunguka.
 
Nimtakie asubuhi njema yenye kila la kheri rafiki yangu kipenzi Davet. Naamini kila ukaapo unajua nafasi uliyo nayo katika moyo wa Hajar iwe ni katika kushauriana, kuelekezana na hata kukosoana.

Uwe na asubuhi njema rafiki pia jua siku zote Hajar anakuombea kwa Allah azidi kukupa busara na utulivu katika kufanya maamuzi yaliyo bora katika mambo yako mbalimbali unayokutana nayo.

Ubarikiwe sana rafiki. Insha Allah.
Woow!!....

Shukrani sana rafi yangu kwa ujumbe mzuri kama wewe, nimegurahi sana umenikumbuka asubuhi asubuhi hii inaonyesha ukubwa gani nilionao kwako..

Yale yote ulioniombea yawe na kwako pia rafiki nikutakie asubuhi njema na Mola akutangulie katika kila jambo ulitendalo...

Inshaalah...

Amina....
 
Ahsante sana rafiki.

Amiin. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Nimtakie asubuhi njema yenye kila la kheri rafiki yangu kipenzi Davet. Naamini kila ukaapo unajua nafasi uliyo nayo katika moyo wa Hajar iwe ni katika kushauriana, kuelekezana na hata kukosoana.

Uwe na asubuhi njema rafiki pia jua siku zote Hajar anakuombea kwa Allah azidi kukupa busara na utulivu katika kufanya maamuzi yaliyo bora katika mambo yako mbalimbali unayokutana nayo.

Ubarikiwe sana rafiki. Insha Allah.
Habari za asubuh dada angu kipenzi nikupendayeee kwa dhatiii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8]
 
Back
Top Bottom